Stock Rahisi
Jua bidhaa uliyonayo, iliyobaki na inayohitaji kuongezwa.
Unauza kila siku, stock inapotea bila kuelewa, matumizi yanaongezeka na hesabu haziko wazi. Biashara nyingi hazianguki kwa kukosa wateja, zinaanguka kwa kukosa control.
Unauza kila siku, lakini mwisho wa mwezi hujui vizuri pesa imeingia kiasi gani, matumizi yamekula kiasi gani, na faida halisi ni ipi.
Mfumo mmoja wenye tools muhimu kwa biashara ndogo na zinazokua.
Jua bidhaa uliyonayo, iliyobaki na inayohitaji kuongezwa.
Rekodi mauzo kwa haraka na fuatilia mapato yako vizuri.
Tengeneza invoice na simamia malipo ya wateja kwa mpangilio.
Weka matumizi na mapato mengine bila kuchanganya hesabu.
Angalia ripoti za kila siku na kila mwezi kwa maamuzi sahihi.
Tumia mfumo kwenye simu au computer bila usumbufu.
DEUS OS hukusaidia kurahisisha biashara yako na kuipa nidhamu. Ukishaweka bidhaa zako, utaona mauzo, matumizi, invoice, stock na ripoti kwa mfumo mmoja rahisi kutumia.
Tumia kwenye simu au computer bila matatizo. Popote ulipo, biashara yako inabaki kwenye control.
Anza Bure Kwa Siku 7
Hakuna usumbufu. Mfumo umejengwa kwa matumizi ya biashara halisi.
Anza bure kwa siku 7 bila malipo ya mwanzo.
Anza kurekodi stock, mauzo, matumizi na invoice kwa mpangilio.
Trial ikiisha, chagua kifurushi ndani ya mfumo, lipa moja kwa moja, na account yako itaendelea kufanya kazi automatically.
Jaribu kwanza. Ukiridhika, chagua kifurushi kinachokufaa.
Kifurushi cha kuanza
Mpango wa biashara nyingi
Kwa continuity bora
Kifurushi cha muda mrefu
Siku 7 za mwanzo
DEUS OS sasa ina mfumo wa malipo ya moja kwa moja. Huhitaji kutuma screenshot, kusubiri uthibitisho wa manual, au kuwasiliana na support ili ku-activate account yako.
Ukishafanya malipo kupitia mfumo, subscription yako itaongezwa automatically ndani ya account yako.
Weka biashara yako kwenye mfumo sahihi, jua pesa inaingia wapi na inatoka wapi. Tumia kwenye simu au computer bila matatizo.